(-5.0062273, 36.1323458) UNHCR: WATU MILIONI 4.4 HAWANA URAIA WA TAIFA LOLOTE DUNIANI - Uniprofits Media

Uniprofits Media

Get updated on daily news. All about politics, economics, education, sports and games and other trending news.

Breaking

Post Top Ad

/div>

Translate

2023/11/06

UNHCR: WATU MILIONI 4.4 HAWANA URAIA WA TAIFA LOLOTE DUNIANI

Na Uniprofits Media


Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema Watu milioni 4.4 Duniani kote hawana Uraia wa Taifa lolote, na idadi halisi huenda ikawa kubwa zaidi kutokana na kundi hili "kutotiliwa maanani".
Watu wasio na Utaifa mara nyingi Haki zao hukandamizwa huku wakishindwa kupata Huduma za msingi. Watu hawa mara nyingi hutengwa Kisiasa na Kiuchumi na hukabiliwa na vitendo vya ubaguzi, uonevu na unyanyasaji wa aina mbalimbali.

Follow/Fuata uniprofits Media hapa chini kwa habari za kila wakati.



No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

FOLLOW US