(-5.0062273, 36.1323458) BASATA YAWAFUNGIA WASANII NA FAINI JUU - Uniprofits Media

Uniprofits Media

Get updated on daily news. All about politics, economics, education, sports and games and other trending news.

Breaking

Post Top Ad

/div>

Translate

2023/11/05

BASATA YAWAFUNGIA WASANII NA FAINI JUU

Na Uniprofits Media




WHOZU AFUNGIWA MIEZI 6, BILL NASS NA MBOSSO MIEZI 3 NA FAINI YA TSH. MILIONI 3 KILA MMOJA.
Mastaa hao wa Bongo Flava wamechukuliwa hatua hiyo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kutokana na kushirikiana katika wimbo uitwao “Ameyatimba Remix” ambao maudhui yake yametajwa kukiuka kanuni za maadili huku Whozu akitakiwa kuondoa Video ya Wimbo huo kwenye Majukwaa yote ya Kidijitali.
BASATA imesema Whozu alichapisha video ya wimbo huo Nov. 02, 2023 huku ukiwa na vitendo vinavyoashiria matusi kinyume na Kanuni ya 25(6) (j) pamoja na vitendo ya unyanyasaji, ukatili na udhalilisha wa utu wa Mwanamke kinyume na Kanuni ya 25(6)-(f).

#Kwa habari mbalimbali,
Follow/Fuata Uniprofits Media hapa chini.

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

FOLLOW US