MICHEZO: Timu ya Simba, inatarajiwa kushuka Dimbani kuvaana uso kwa uso na Mtani wake wa jadi, Yanga kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuanzia Saa 11 Jioni, leo Novemba 5, 2023
Katika Michezo Mitano iliyopita ya Ligi baina ya timu hizo kila upande umeshinda Mchezo mmoja na sare zikiwa ni Tatu.
Unadhani ni yupi mbabe kati yao? Tukutane kwa Mkapa.
Na Uniprofits Media

No comments:
Post a Comment