(-5.0062273, 36.1323458) DARASA LA SABA KUFUTWA TANZANIA - Uniprofits Media

Uniprofits Media

Get updated on daily news. All about politics, economics, education, sports and games and other trending news.

Breaking

Post Top Ad

/div>

Translate

2023/11/02

DARASA LA SABA KUFUTWA TANZANIA







MUAFAKA WA DARASA LA SABA KUFUTWA TANZANIA. 

Na; Uniprofits Media.

VIDIEO:  Waziri mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa (MB) Akiwasilisha haya leo Bungeni.




HABARI ZA SIKU KWA UFUPI.

BUNGENI: SERIKALI KUZINDUA SERA YA ELIMU NA MITAALA ITAKAYOFUTA DARASA LA SABA.
Ni taarifa iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Novemba 2, 2023 mbele ya Bunge wakati aliposimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Elimu ya mwaka 2014 toleo la 2023.
Waziri Mkuu amesema Sera na Mitaala hiyo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na Sera iliyopita ambapo kati ya mabadiliko yaliyoidhinishwa ni pamoja na Elimu ya lazima kuwa ya Miaka 10 badala ya miaka 7.

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

FOLLOW US